Maeneo Bora kwa Kijana wa Miaka 18 Hadi 25 Kuwekeza

If I could knew those days ningekuwa mbali sema kwa umri huo unakuwa not well matured kuweza kujua namna Bora ya kuwekeza na namna ya kuendeleza uwekezaji wako. Umri wa kusoma, kutegemea wazazi, No job kifupi unajitafuta either uwe umezaliwa silver spoon family. From 30 wengi akili zinawakaa sawa na kuwa na utambuzi sahihi wa maisha. Kijana ukipata hela wekeza kwenye ardhi utajiri utauona mbele
 
Ata nyanya iko vizuri mkuu, utatumia gharama kubwa hapo mwanzo kwa kuihudumia ila ikikubali vizuri itakulipa mara dufu.
Mi naona vitunguumaji ndio afadhali
Kuna mwana kapata mtaji wa mil10 kiutani tu masika alilima akaotea bei ya laki 2.5 then sahivi anafanya biashara ya mahindi
 
Biashara ya unenepeshaji ng'ombe
Hapa kijana atakuwa anatafuta ng'ombe waliokondeana na kwenda kuwanenepesha na kuwauza na life kusonga
Huwa naheshimu sana mawazo ya wadau ila hii biashara ni ngumu sana! Hakuna pia biashara rahisi!
 
Aiseee ushauri mzuri sana ever.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…