Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
pfunk/majani mbona kajala alikutana naye kweney strip club/night clup akamwona anavyocheza kwa kuzungusha lile uno.hapohapo akaweka ndani. sugu alishaandika wakiwa na faiza walikutana club. nafikiri matokeo ya ndoa zote hizo unayajua.Habari wana mmu , leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi nae,
Naanza mimi,
=>Kwenye maguest house
=>kwenye migahawa ya chakula
=>kwenye ma bar na kumbi za muziki
=>Sokoni au maeneo ya ghulioni
=>kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri,
BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.