Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
pfunk/majani mbona kajala alikutana naye kweney strip club/night clup akamwona anavyocheza kwa kuzungusha lile uno.hapohapo akaweka ndani. sugu alishaandika wakiwa na faiza walikutana club. nafikiri matokeo ya ndoa zote hizo unayajua.Habari wana mmu , leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi nae,
Naanza mimi,
=>Kwenye maguest house
=>kwenye migahawa ya chakula
=>kwenye ma bar na kumbi za muziki
=>Sokoni au maeneo ya ghulioni
=>kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri,
BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.
Tatizo mlikua mnapiga kelele wakati mh mjumbe anatoa hoja ambayo kwa pamoja iliungwa mikono yote...😜Kwani kilikua kinaongelea nn
Aisee una ujua huu mji vizusi yaani mabinti almost wote ni after money na wengi ni wadangaji wa kutupwa , sipingani na hoja yako upo sahihi mkuu.Maeneo ya ushirombo hutakiwi kutafuta mke
Nimeipenda hii mbinu yako, vipi umewahi kuitumia na ukafanikiwa?By the way.....
Mke hatafutwi kama utadhani umeangusha hela kwenye mchanga.
Ebu kaa kwa kutulia, jipende, nenda kwenye ibada, fanya kazi kwa bidii, kua mwenye nidhamu na kisha utamuona mke amekujia
Aisee umenikumbusha mbali mkuu nakumbuka mwaka 2012 ndo kwanza najiunga facebook nikaanza huo mchakato , nilijikuta nakosa raha kwa mtu nisiemjua mpaka leo sijawahi kurudia kufanya huo upuuzi wa kumtongoza binti mtandaoni.Mitandaoni
😂😂bora nishinde gym since its my hobby kuliko kupoteza mda kwa mtu simjuiAisee umenikumbusha mbali mkuu nakumbuka mwaka 2012 ndo kwanza najiunga facebook nikaanza huo mchakato , nilijikuta nakosa raha kwa mtu nisiemjua mpaka leo sijawahi kurudia kufanya huo upuuzi wa kumtongoza binti mtandaoni.
Sijawahi kuitumia na bado sijafanikiwa.Nimeipenda hii mbinu yako, vipi umewahi kuitumia na ukafanikiwa?
Kwa hiyo mkuu unataka kuniaminisha hata GUEST house ninaweza kupata mke muaminifu?Hayanaga muongozo...ajisemee smart911
Nitake radhi kabla sija..... [emoji57][emoji57][emoji57]Sijawahi kuitumia na bado sijafanikiwa.
Vipi wewe ulisha fanikiwa kupata mke...??[emoji12]
Hauna radhi ya kunipa mkuu...🤨Nitake radhi kabla sija..... [emoji57][emoji57][emoji57]
umepotea sasa wewe utampata wapi sema hizo sehemu, sokoni, gulioni na kwenye vyombo vya usafiri hutaki, bila shaka utaoa mwanamke bundi au popo.Habari wana mmu , leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi nae,
Naanza mimi,
=>Kwenye maguest house
=>kwenye migahawa ya chakula
=>kwenye ma bar na kumbi za muziki
=>Sokoni au maeneo ya ghulioni
=>kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri,
BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.
[emoji848]Sawa utaona....!Hauna radhi ya kunipa mkuu...[emoji2955]
Hivi kwa muktadha wake malaika wa Mungu wana mipaka? Dimensions ya maeneo ni akili mgando hajawaza expansively, there is always what if? Na profounding factors, relativity, notion, stereotype, and and manyUzi umekuwa mfupi sana
Ungeelezea kwa ufupi sababu za/ya kushindwa kutongoza maeneo hayo ili sisi tunafika maeneo hayo tujue tunafanyaje
Ingia ndani ucheze ngomaTabora Kuna mchumba wangu
Kwani Kuna shida gani?