Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

Kijana Wa Dar

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
98
Reaction score
216
Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ?

Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi

Msaada please
 
wewe ni kijana wa dar alafu avatar yako kuna bonge la demu anyway nenda Masaki huko wa kumwaga
 
Masaki wamejaa kule au vuka maji nenda Zenji upate demu mtalii wengi kule pia..
 
Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ?

Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi

Msaada please
Dar ni ngumu nenda arachuga ......
usisahau kuweka rasta kichwani
 
Back
Top Bottom