TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #121
Wapo hapo Kijichi CCM wamejaa kibaoMdengereko atoke wapi huku Kijichi kwenye maeneo yaliyopimwa? Kila kiwanja siyo chini ya sqm 2500 ukijipigia ukuta wako umetulia.
Au unajibebesha flat moja ya NSSF basi huna wasiwasi.
Usije Dar, kaa hukohuko!Habari wadau..!
Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.
Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .
Ila sasa nina familia napata ugumu kuchagua sehemu ya kuishi na kulea familia,maana familia inahitaji maeneo yenye utulivu na penye huduma zote za jamii na pasiwe wachawi au vigagura na msongamano wa nyumba kama za huku kwetu Buza.
Hivi kwa hapa Dar ni maeneo gani yametulia kwa kuishi na kulea familia ,ambapo hautajutia kujenga au kununua nyumba ya kuishi maeneo hayo.
Mkuu nakupa 5,niko arusha ila maeneo uliyotaja bado kuwa high population.napenda sana Bunju or BagamoyoMaeneo yapo mengi, kama Madale, Mbezi mpaka mlandizi, Bunju, Kigamboni, Kijichi, Bagamoyo n.k
Nimeomb msaada sio kutumbua mimachoKumbe Kinyerezi nako kuna vigagura🙄🙄
Bei inachezea ngapi per square meter Mkuu bagamoyoNjoo bunjub sokoni, ma site, kiwanja siyo chini ya 890sq meters, kumepangika, soko la ukweli kubwa lenye gulio kila alhamisi, laweza kuwa kubwa kuliko yote barabara ya Bagamoyo, shule za kutosha Mapinga, Kiharaka, Kerege, Zinga na Bagamoyo, boarding na day, upepo mwanana, nyumba hazijabanana, maji ya dawasa na umeme yapo, beach zipo karibu kwa mapumziko ya weekend, Ununio, bunju beach, Bagamoyo, its a suburb area, wewe tu..
Bagamoyo sijuwi, ila bunju viwanja vya mradi vyenye title na kupangika, usiwe na chini ya 35m/=..Bei inachezea ngapi per square meter Mkuu bagamoyo
Wapuuzi sana hao jamaa na viwanja vyao wa kujenga mabanda ya nguruwe wabaki navyo,Nyie ndio mnavuruga miji Sasa square metre 300 si kujenga Mabanda ya Mbwa
KibambaHabari wadau..!