kwa utafiti wangu kwa sasa Dar inahamia maeneo hayo kuanzia mbezi mwisho, kibamba na kiluvya na hili linasababishwa na;Ubungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo
1.kituo kikubwa cha mabasi ya Mikoani na nchi jirani (Magufuli bus terminal) kujengwa maeneo hayo.
2. Hospitali kubwa ya kisasa Muhimbili Mloganzila
3. kituo kikubwa cha Polisi kiluvya Gogoni.
n.k
hayo yote yamepelekea maeneo hayo kuwa bora zaidi kuishi kutokana na ukaribu wa huduma hizo muhimu na usalama.