PostGE2025 Maeneo ilipozikwa miili ya watanganyika wenzetu yaanza kufichuliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,637
Reaction score
8,057
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.

Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina uhakika hata kama sio za kweli lazima hizo sehemu zijulikane na mifupa ifukuliwe.
179310.jpg
 
Serikali kama ingekuwa na Akili timamu wangeruhusu hiyo miili wapewe ndugu za marehemu, Kwa hii style Yao ya kwenda kuzika miili kwenye makaburi ya pamoja ni kujivua nguo mchana kweupe.

Wanaofanya kazi hiyo ya kuchimba,kuandaa miili ,kupakia kwenye magari na kuzika ni mtiririko wa watu wengi wenye mioyo tofauti ni ngumu Sana kukaa na Siri hiyo Kwa muda mrefu...baada ya siku kadhaa tutajua maeneo yote ambayo ndugu zetu wamezikwa
 
Kuna watu hatari sana walianza kusema wazo ilipokea oda kuzuia watu hivo wengine wakapelekwa kuchomwa moto, hatari sana.
 
Serikali kama ingekuwa na Akili timamu wangeruhusu hiyo miili wapewe ndugu za marehemu, Kwa hii style Yao ya kwenda kuzika miili kwenye makaburi ya pamoja ni kujivua nguo mchana kweupe.

Wanaofanya kazi hiyo ya kuchimba,kuandaa miili ,kupakia kwenye magari na kuzika ni mtiririko wa watu wengi wenye mioyo tofauti ni ngumu Sana kukaa na Siri hiyo Kwa muda mrefu...baada ya siku kadhaa tutajua maeneo yote ambayo ndugu zetu wamezikwa
Kabisa, labda wakifika huko wauane na wenyewe
 
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.

Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina uhakika hata kama sio za kweli lazima hizo sehemu zijulikane na mifupa ifukuliwe.View attachment 3503018
Ni kweli pale mwananyamala hospital upande km unaenda sokoni kuna eneo la manispaa kubwa tu na linaukuta ni kama garage hivi na sehemu ya viwanja vya maonyesho
 
Serikali kama ingekuwa na Akili timamu wangeruhusu hiyo miili wapewe ndugu za marehemu, Kwa hii style Yao ya kwenda kuzika miili kwenye makaburi ya pamoja ni kujivua nguo mchana kweupe.

Wanaofanya kazi hiyo ya kuchimba,kuandaa miili ,kupakia kwenye magari na kuzika ni mtiririko wa watu wengi wenye mioyo tofauti ni ngumu Sana kukaa na Siri hiyo Kwa muda mrefu...baada ya siku kadhaa tutajua maeneo yote ambayo ndugu zetu wamezikwa
Hayo makaburi watu wazirekodi hizo coordinates tu, yatafukuliwa hata kwa inquest ya ICC.
 
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.

Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina uhakika hata kama sio za kweli lazima hizo sehemu zijulikane na mifupa ifukuliwe.View attachment 3503018
watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.✌🏿💪🏿💪🏿📌
 
Ni kweli pale mwananyamala hospital upande km unaenda sokoni kuna eneo la manispaa kubwa tu na linaukuta ni kama garage hivi na sehemu ya viwanja vya maonyesho
Ndugu zetu hawawezi kuzikwa isivyo haki bila heshima, damu zao zitatulilia juu yetu
 
Back
Top Bottom