Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Takataka kama hii nayo eti ni mbunge..Inauma sana
View attachment 3503019
Hakuna kitakachofichikaKuna watu hatari sana walianza kusema wazo ilipokea oda kuzuia watu hivo wengine wakapelekwa kuchomwa moto, hatari sana.
Kwakwel aseeHakuna pa kujificha,tutawaumbua tu
Na uzao waoπ walaaniwe na mungu
Kabisa, labda wakifika huko wauane na wenyeweSerikali kama ingekuwa na Akili timamu wangeruhusu hiyo miili wapewe ndugu za marehemu, Kwa hii style Yao ya kwenda kuzika miili kwenye makaburi ya pamoja ni kujivua nguo mchana kweupe.
Wanaofanya kazi hiyo ya kuchimba,kuandaa miili ,kupakia kwenye magari na kuzika ni mtiririko wa watu wengi wenye mioyo tofauti ni ngumu Sana kukaa na Siri hiyo Kwa muda mrefu...baada ya siku kadhaa tutajua maeneo yote ambayo ndugu zetu wamezikwa
Na anaweza kula uwaziriTakataka kama hii nayo eti ni mbunge..
Kabisa inaumizaNa uzao wao
Ni kweli pale mwananyamala hospital upande km unaenda sokoni kuna eneo la manispaa kubwa tu na linaukuta ni kama garage hivi na sehemu ya viwanja vya maonyeshoHivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.
Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina uhakika hata kama sio za kweli lazima hizo sehemu zijulikane na mifupa ifukuliwe.View attachment 3503018
Hayo makaburi watu wazirekodi hizo coordinates tu, yatafukuliwa hata kwa inquest ya ICC.Serikali kama ingekuwa na Akili timamu wangeruhusu hiyo miili wapewe ndugu za marehemu, Kwa hii style Yao ya kwenda kuzika miili kwenye makaburi ya pamoja ni kujivua nguo mchana kweupe.
Wanaofanya kazi hiyo ya kuchimba,kuandaa miili ,kupakia kwenye magari na kuzika ni mtiririko wa watu wengi wenye mioyo tofauti ni ngumu Sana kukaa na Siri hiyo Kwa muda mrefu...baada ya siku kadhaa tutajua maeneo yote ambayo ndugu zetu wamezikwa
watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.βπΏπͺπΏπͺπΏπHivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.
Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina uhakika hata kama sio za kweli lazima hizo sehemu zijulikane na mifupa ifukuliwe.View attachment 3503018
Ndugu zetu hawawezi kuzikwa isivyo haki bila heshima, damu zao zitatulilia juu yetuNi kweli pale mwananyamala hospital upande km unaenda sokoni kuna eneo la manispaa kubwa tu na linaukuta ni kama garage hivi na sehemu ya viwanja vya maonyesho