Hao hao waliotumika ndio watakaotuonesha, na uzuri mifupa haiozi
Kuna mahali nimeona mtu ameandika malori yalikuwa yakienda huko same maporini, na kule kuna mapori makubwa sana hivyo inaweza isiwe na shaka ni kweli pia
watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele.βπΏπͺπΏπͺπΏπ