Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote

Nawaletea maeneo yenye kitimoto nzuri sana maeneo ya Tegeta/ MbeziBeach/ Kunduchi

1. Family bar Tegeta mbele ya Azania bank
2. Skanska njia ya kwenda IPTL
3. Bushman pub salasala
4. Kwa malanja Kunduchi Mtongani
5. Poripoa Bar Salasala mbele ya big brother bar
6. Tin vibe salasala
7. King-size bar salasala opposite na China bar
8. Juliana Bar Mbezi Africana njia ya kwenda White Sands Hotel

Bei ya wastani kwa kilo moja ni kati ya shs 15,000 - 25,000
 
Ivi inakuwaje kwa waru ambao n ma dr wa wanyama kuwatibu nguruwe inaruhusiwa
 
Wasabato bana 😁😁😁

Kwa nini huwa mnachukua viamri vichache vya agano la kale na kuacha zingine? Ni Ellen G. White ndiye aliwachagulia amri hizi chache za kufuata au ni nani? Mtu kweli atashindwa kwenda mbinguni kisa alikula mnyama asiyecheua, asiye na kwato zilizogawanyika au samaki asiye na magamba?

Matendo 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…