Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,726
- 3,359
Walawi nasisi Wangoni wapi na wapiWalawi 11:6-8
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 7Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. 8Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.