Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

Kwa tegeta kuna sehemu panaitwa Useri Bar.
Huyo jamaa ndo Agent wa kitimoto maeneo hayo ya tegeta na viunga vyake.
 
Walawi 11:6-8
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 7Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. 8Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Sidhani kama unaeleweka.Labda wakianza kubeua mlo safi wa kitimoto ndiyo wataomba urudie ombi lako.
 
Back
Top Bottom