Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

Walawi nasisi Wangoni wapi na wapi
 
Wewe badala ya kuijoy rost eti unaleta agano la kale hapa. Kwani Agano jipya hujasoma Mungu kasemaje?

Matendo ya Mitume 10: 14-15 "Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.

Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi."
 
Hiki kisa kimeanzia matendo 10. Kumbuka hili ni maono, na Petro alijiuiliza ni nini maana ya hayo maono. HONGERA kwa kuwa unajifunza maandiko. ila soma sura nzima kwa kuwa inajitafsiri yenyewe . hapo chini nimekuwekea tafsiri

mATENDO 10:27Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika. 2810:28 Yn 4:9; 18:28; Mdo 15:8-9Akawaambia, “Mnajua kabisa kwamba ni kinyume cha sheria yetu Myahudi kuchangamana na mtu wa Mataifa au kumtembelea. Lakini Mungu amenionyesha kwamba nisimwite mtu yeyote kuwa najisi au asiye safi. 29Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
 
tukiweka reference maneno ya agano la kale mnagoma kwamba ni la kale limepitwa na wakati
mbona hata jipya mnalipinga sasa
 
Jibu na yale maswali mengine sasa. Mtu atakwenda motoni kisa alikula samaki asiye na magamba?

Kwa nini mnachukua sheria chache za agano la kale na kuacha maelfu na maelfu mengine?
 
Jibu na yale maswali mengine sasa. Mtu atakwenda motoni kisa alikula samaki asiye na magamba?

Kwa nini mnachukua sheria chache za agano la kale na kuacha maelfu na maelfu mengine?
kwani tumeagizwa sisi tu kufuata, wewe vipi. ni zipi tumeacha mkuu
ila mbinguni tunaenda kwa neema siyo kwa matendo ya sheria
 
Tabata kinapatikana Mikasa Bar and Night Club iliyopo Tabata Magengeni.
 
Hayo yalikuwa ni maono, na maono yanakuwa na tafsiri/maana yake

Tafsiri ya mAONO HIYO HAPO CHINI

mATENDO 10:27Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika. 2810:28 Yn 4:9; 18:28; Mdo 15:8-9Akawaambia, “Mnajua kabisa kwamba ni kinyume cha sheria yetu Myahudi kuchangamana na mtu wa Mataifa au kumtembelea. Lakini Mungu amenionyesha kwamba nisimwite mtu yeyote kuwa najisi au asiye safi. 29Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
 
Biblia inayo tafsiri pana sana Mkuu sema umeamua kuchagua tafsiri moja inayoendana na Itikadi ya ma dhehebu yako.

Hivyo Kwa tafsiri sahihi na pana zaidi hata mnyama yeyote pia haifa tena i kumwita najisi au asiye safi sawa sawa na ilivyo kwa binadamu pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…