Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habari ndugu Wana jukwaa,
Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi.
Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi?
Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi, madikteta, wababe, wezi wa kura na matokeo ya uchaguzi, nchi isyo na viongozi waadilifu inawezaje kufundisha watoto kuhusu maadili?ukiukwaji wa katiba na demokrasia ya vyamq vingi, Hukumu za Mahakama kudhaurauriwa, majaji kuwa wala rushwa, mawakili kuwa waongo na ulaghai.
Tuweke bayana hayo maadili kwenye somo jipya la historia ya Tanzania na maadili watafundisha ulaji rushwa na wizi au udikteta?
Jumapili ikawe ya mababa wenye upendo na huruma, huruma na upendo wa Baba ni uwakilisho wa Ki Mungu.