Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala.

Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi ya Umeme ya Ceylon (CEB) inayomilikiwa na serikali, waligoma usiku wa manane siku ya Alhamisi June 9.

Na kukwamisha shughuli katika mitambo minane ya kuzalisha umeme inayozalisha takriban MW 1,000 za umeme.

......................................................................

Swaths of Sri Lanka have been hit by electricity cuts after a power sector union went on strike in protest against new government regulations, compounding hardships as the country tackles its worst economic crisis in decades.

About 900 out of approximately 1,100 engineers of the state-run Ceylon Electricity Board (CEB), Sri Lanka’s main power company, went on strike at midnight on Thursday, stalling operations at eight hydropower plants that generate about 1,000 MW of electricity.

The CEB Engineers’ Union is opposed to government plans to amend legislation governing the country’s power sector, which include removing restrictions on competitive bidding for renewable power projects.

Kanchana Wijesekera, Sri Lanka’s power minister, said he was open to making changes to the legislation, which is due to be presented to parliament, adding that consumers have the right to a cheap, uninterrupted electricity supply.

“If the existing CEB act does not need amendments and has the capability to implement renewable energy projects without delay, why did the CEB deprive many who had requested to do so for years?” Wijesekera said in a tweet.

SOURCE: AL JAZEERA
 
Hapa kabla ya JPM walikuwa kila siku wanakausha Mabwawa ya Maji ili kusaidia Mabepari kuuza majenereta

lile biti la wakati tu wa Kampeni wakapoteana n hadithi za kupeleka waandishi kuonesha Mabwaya yamekauka ikishia pale pale
 
Back
Top Bottom