Maeneo/Miji/Centers zinazokua kibiashara kwa kasi sana hapa Dar es Salaam

Maeneo/Miji/Centers zinazokua kibiashara kwa kasi sana hapa Dar es Salaam

milioni 4 haitoshi.
Ungekuwa na angalau milioni 8 ningekushauri ufungue bakery maeneo ya madale au goba hii ni fursa.
Mkuu usimkataishe tamaa ukaacha aendelee kuipunguza pesa, Zipo biashara hiyo milioni 4 anafika bei, sema tu ni uchaguzi wa biashara gani anataka kuifanya! Mfano hiyo milion 4, unaweza kuwa unanunua vifaranga vya siku moja kwa makampuni ya utotoleshaji, kisha unavilea vikifikisha wiki 5 au 6 unavitoa!
 
Hukunielewa mkuu umekurupuka. Nilimaanisha milioni 4 ni ndogo kwa biashara niliyoiwaza mimi sio ndogo kwa biashara zote.

Hyo milioni 4 anapata bodaboda 2 sio pesa ya kudharau mkuu. Kiufupi hata laki 5 inaweza kuwa mtaji kutegemea na mtu anachofocus.
Mkuu usimkataishe tamaa ukaacha aendelee kuipunguza pesa, Zipo biashara hiyo milioni 4 anafika bei, sema tu ni uchaguzi wa biashara gani anataka kuifanya! Mfano hiyo milion 4, unaweza kuwa unanunua vifaranga vya siku moja kwa makampuni ya utotoleshaji, kisha unavilea vikifikisha wiki 5 au 6 unavitoa!
 
Mdau umeleta uzi mzuri kwa mchongo wa biashara, hata hivo hujasema katika masoko hayo ni bidhaa zipi zinalika au ni aina zipi za biashara zinapanda zaidi maana sehemu panweza kuwa pamechangamka kibiashara lakini pakawa na bidhaa zake zinzolika! Mfano ukienda Tabata mpaka madangulo ya madada poa yapo!
 
Goba
Mbezi mwisho
Gongo la mboto
Ferry kigamboni
Tegeta
Bunju
Chanika
Tabata segerea
Ubungo riverside
Safi saana mkuu! Kuna jamaa ana mtikasi wake sehemu kainvets Kama laki 8 tu Ila anaingiza Hadi laki per day. Tunakwama wapi sisi?
 
Anafanya biashara gani huyo jamaa
Ukija sinza ukifika kwenye Bar ya Uwoya kuna jamaa ana duka lake na anauza na chipsi na mishkaki kwa nje.

Kuna dogo mmoja ndo anauza pale alikuwa ananiambia kwa mtaji wa laki na sabini wanauza zaidi ya laki 3 kwa siku kwa hiyo wanatoa standing capital ya laki 2 then laki bosi anadhibiti kama faida ya net profit isiyo na makato, VAT wala kulipa mishahara, wanakwambia na wao washakwapua za vocha.

Bosi yeye Madogo anawalipa kwa mwezi elfu 70 kila kichwa, wanakula na kulala ndani kwenye duka la Boss.
 
hata mimi nahitaji kujua huo mchongo aisee,maana humu jf tunatishana sana.
Ila haiingii akilini ingekuwa kuna hiyo pesa watu wasingejazana pale pepsi kwa wahindi kuvizia vibarua cha kulipwa 6000 kwa siku wote wangejazana hapo machinjioni pangekuwa hapatoshi aisee.
Mchongo gani mkuu hapo vingunguti?
 
unafanyia biashara gani hiyo laki ili upate elf 50 kila siku?
Hii biashara Mimi leo nimeithibitisha kwa kufika Hadi eneo la tukio lenyewe... Elfu 70 unapata faida ya elfu 30. Aisee!
 
Back
Top Bottom