Maeneo/Miji/Centers zinazokua kibiashara kwa kasi sana hapa Dar es Salaam

Hii biashara Mimi leo nimeithibitisha kwa kufika Hadi eneo la tukio lenyewe... Elfu 70 unapata faida ya elfu 30. Aisee!
Vitu kama hivi ndio vya kushea sasa ili mwenye uwezo ajisogeze. Hebu sema mkuu!
 
Hii biashara Mimi leo nimeithibitisha kwa kufika Hadi eneo la tukio lenyewe... Elfu 70 unapata faida ya elfu 30. Aisee!
Mkuu tunaomba utuambie ni biashara ipi
 
Back
Top Bottom