Maeneo muhimu ambayo Yanga wanapaswa kuyafanyia marekebisho ili waweze japo kuikaribia SIMBA SC katika medani ya kimataifa

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Tabula rasa f.c
 
Huyu mtu anahangaika sana kufanya comparison kati Simba na Yanga. Kwani mkuu kama Simba ina mafanikio hayo unayoyapamba kuna haja gani ya yote haya? Si mafanikio yako yatajieleza kwa nini unatumia nguvu kubwa.

Jibu ni kwba hofu imetanda mafanikio ya mpinzani yanakutia hofu
 
Huyo jamaa wa kwanza lazima atakuwa changaule ukikaidi utapigwa2 au joseph1989 maana ndiyo pigo zao hizi. Kila nikimsikiaga nawakumbuka hawa chalii watatu.
Sisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.

Halafu historia inaweza ikafutwa vilevile kwa London Arsenal ndio aliyekuwa na uhakika wa kuingia UEFA kila mwaka na akawa wa kwanza kufika fainali kwa timu za London,ila Chelsea ilikuwa haifanyi vizuri UEFA miaka ya nyuma ,ila kaingia mara tatu fainali na kachukua mara mbili.

Mnaweza mkawa mabingwa wa kushiriki sisi tutakabeba ndoo,endeleeni kushiriki. ILA MSIJIPE MOYO KWANI HATUNA LA KUJIFUNZA KWA WAOTA MOTO NA WARUDI KINYUMENYUME FC.
 
Kuna mwenzio nilimuelimisha juzi hapa kuwa historia haifutwi. Unaweza wewe kurudia au kufanya bora zaidi ya yule wa mwanzo lakini kamwe historia ikiandikwa imeandikwa, acheni fikra za kiswahili.

Ndiyo maana unaona CAF na FIFA wakiwa wanataja timu, wanataja haya mafanikio yaliyofikiwa na timu kuanzia robo fainali. Elimika achana na ujinga.
 
Boss mwezi wa nane kuna super league, sio mbaya ukimuuliza mtani amefanyaje mpka kuwa mwakilishi pekee ukanda wa cecafa wenye timu nyingi mbovumbovu kama nyie .
 
Huyu mtu anahangaika sana kufanya comparison kati Simba na Yanga. Kwani mkuu kama Simba ina mafanikio hayo unayoyapamba kuna haja gani ya yote haya? Si mafanikio yako yatajieleza kwa nini unatumia nguvu kubwa.

Jibu ni kwba hofu imetanda mafanikio ya mpinzani yanakutia hofu
Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....

Hivi ni vionjo tu visikupasue kichwa ,huo ndio utani sasa...na furaha ya sisi wapenda kabumbu ni kuona upinzani wanapata tabu,wanapata kero,wanaweweseka, na hilo ndilo ninalolitimiza hapa.....

Hatucheji hatucheji in manara' voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku nakupa kero na ukirudi kule London nakupa lero zaidi na hiyo ndio furaha yangu....

Shubamiiiiiiiiiiiiitttttttttttt...........
 
Kuna mwenzio nilimuelimisha juzi hapa kuwa historia haifutwi. Unaweza wewe kurudia au kufanya bora zaidi ya yule wa mwanzo lakini kamwe historia ikiandikwa imeandikwa, acheni fikra za kiswahili.

Ndiyo maana unaona CAF na FIFA wakiwa wanataja timu, wanataja haya mafanikio yaliyofikiwa na timu kuanzia robo fainali. Elimika achana na ujinga.
Kufutwa haifutwi ila itakuwepo iliyo bora kuliko yako ,mfano nimekupa historia ya Arsenal na Chelsea London kabla ya Chelsea kufika Fainal ,Arsenal ilikuwa na historia nzuri kuliko Chelse,leo sasa ukipiga hesabu kwenye michuano mikubwa Arsenal na Chelsea yupi mwenye historia nzuri?

Wewe endelea kushiriki tu na kuendekeza kuota moto na kurudi kinyumenyume sisi ndio tunaenda kuandika historia yetu ambayo itakuwa bora kuliko yako kwa kutumia njia za kisayansi na si za kwenu mnazozitumia.
 
Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....

Hivi ni vionjo tu visikupasue kichwa ,huo ndio utani sasa...na furaha ya sisi wapenda kabumbu ni kuona upinzani wanapata tabu,wanapata kero,wanaweweseka, na hilo ndilo ninalolitimiza hapa.....

Hatucheji hatucheji in manara' voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku nakupa kero na ukirudi kule London nakupa lero zaidi na hiyo ndio furaha yangu....

Shubamiiiiiiiiiiiiitttttttttttt...........
Standard mliyoweka ni kuishia robo fainali ambapo yanga ana step moja tu kuivuka pale nyie mlipoishia. Na ana step mbili tu kupambania kombe.
 
Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....

Hivi ni vionjo tu visikupasue kichwa ,huo ndio utani sasa...na furaha ya sisi wapenda kabumbu ni kuona upinzani wanapata tabu,wanapata kero,wanaweweseka, na hilo ndilo ninalolitimiza hapa.....

Hatucheji hatucheji in manara' voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku nakupa kero na ukirudi kule London nakupa lero zaidi na hiyo ndio furaha yangu....

Shubamiiiiiiiiiiiiitttttttttttt...........
Mkuu hizo kero, mpapasiko na msawajiko unajipa mwenyewe mkuu kwa sababu kwa mfululizo wa thread zako ni dhahiri shahiri wewe ndio unapata shida.

Kule ulaya nishakubali kitambo nimekula Sugunyo heavy na nimeshatupa taulo uwanjani. Ila huku nyumbani we kaa kwa kutulia msimu huu nimekuchanganyia Ndoige, Sugunyo na Kantangaze unahaha tu.
 
Umekutana na timu zinazoshuka daraja huko luzaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wale wazembe ambao hata ihefu hawawezi
 
Kama wewe ulivyo mbovu huu msimu na umepita umeweza kuingia robo. Hiyo unasemaje? Hata kundi lenu mmekutana wabovu ukiachana na Raja
 
Huyu mtu anahangaika sana kufanya comparison kati Simba na Yanga. Kwani mkuu kama Simba ina mafanikio hayo unayoyapamba kuna haja gani ya yote haya? Si mafanikio yako yatajieleza kwa nini unatumia nguvu kubwa.

Jibu ni kwba hofu imetanda mafanikio ya mpinzani yanakutia hofu
Haamini anayoyaonaaa

Haamini kama Yanga anazidi kuimarika day by day
 
Back
Top Bottom