Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe unani tag mambo ya hovyoHuyo jamaa wa kwanza lazima atakuwa changaule ukikaidi utapigwa2 au joseph1989 maana ndiyo pigo zao hizi. Kila nikimsikiaga nawakumbuka hawa chalii watatu.
Mbona unajikataa 🤣😂🤣
Sisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.Huyo jamaa wa kwanza lazima atakuwa changaule ukikaidi utapigwa2 au joseph1989 maana ndiyo pigo zao hizi. Kila nikimsikiaga nawakumbuka hawa chalii watatu.
Kuna mwenzio nilimuelimisha juzi hapa kuwa historia haifutwi. Unaweza wewe kurudia au kufanya bora zaidi ya yule wa mwanzo lakini kamwe historia ikiandikwa imeandikwa, acheni fikra za kiswahili.Sisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.
Halafu historia inaweza ikafutwa vilevile kwa London Arsenal ndio aliyekuwa na uhakika wa kuingia UEFA kila mwaka na akawa wa kwanza kufika fainali kwa timu za London,ila Chelsea ilikuwa haifanyi vizuri UEFA miaka ya nyuma ,ila kaingia mara tatu fainali na kachukua mara mbili.
Mnaweza mkawa mabingwa wa kushiriki sisi tutakabeba ndoo,endeleeni kushiriki. ILA MSIJIPE MOYO KWANI HATUNA LA KUJIFUNZA KWA WAOTA MOTO NA WARUDI KINYUMENYUME FC.
Boss mwezi wa nane kuna super league, sio mbaya ukimuuliza mtani amefanyaje mpka kuwa mwakilishi pekee ukanda wa cecafa wenye timu nyingi mbovumbovu kama nyie .Sisi hatuna mpango wa kujifunza kwa Kolo FC na ndio maana hata style yetu ya kupiga hatua tunaiendesha kisayansi zaidi wakati nyinyi style mpaka mbebe kuni mkaote moto uwanjani,mara mrudi kinyumenyume.
Halafu historia inaweza ikafutwa vilevile kwa London Arsenal ndio aliyekuwa na uhakika wa kuingia UEFA kila mwaka na akawa wa kwanza kufika fainali kwa timu za London,ila Chelsea ilikuwa haifanyi vizuri UEFA miaka ya nyuma ,ila kaingia mara tatu fainali na kachukua mara mbili.
Mnaweza mkawa mabingwa wa kushiriki sisi tutakabeba ndoo,endeleeni kushiriki. ILA MSIJIPE MOYO KWANI HATUNA LA KUJIFUNZA KWA WAOTA MOTO NA WARUDI KINYUMENYUME FC.
Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....Huyu mtu anahangaika sana kufanya comparison kati Simba na Yanga. Kwani mkuu kama Simba ina mafanikio hayo unayoyapamba kuna haja gani ya yote haya? Si mafanikio yako yatajieleza kwa nini unatumia nguvu kubwa.
Jibu ni kwba hofu imetanda mafanikio ya mpinzani yanakutia hofu
Kufutwa haifutwi ila itakuwepo iliyo bora kuliko yako ,mfano nimekupa historia ya Arsenal na Chelsea London kabla ya Chelsea kufika Fainal ,Arsenal ilikuwa na historia nzuri kuliko Chelse,leo sasa ukipiga hesabu kwenye michuano mikubwa Arsenal na Chelsea yupi mwenye historia nzuri?Kuna mwenzio nilimuelimisha juzi hapa kuwa historia haifutwi. Unaweza wewe kurudia au kufanya bora zaidi ya yule wa mwanzo lakini kamwe historia ikiandikwa imeandikwa, acheni fikra za kiswahili.
Ndiyo maana unaona CAF na FIFA wakiwa wanataja timu, wanataja haya mafanikio yaliyofikiwa na timu kuanzia robo fainali. Elimika achana na ujinga.
Hatuna la kujifunza kwa waota moto na warudi kinyumenyume, ndio maana hata approach yetu na kwao tofauti.Boss mwezi wa nane kuna super league, sio mbaya ukimuuliza mtani amefanyaje mpka kuwa mwakilishi pekee ukanda wa cecafa wenye timu nyingi mbovumbovu kama nyie .
Standard mliyoweka ni kuishia robo fainali ambapo yanga ana step moja tu kuivuka pale nyie mlipoishia. Na ana step mbili tu kupambania kombe.Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....
Hivi ni vionjo tu visikupasue kichwa ,huo ndio utani sasa...na furaha ya sisi wapenda kabumbu ni kuona upinzani wanapata tabu,wanapata kero,wanaweweseka, na hilo ndilo ninalolitimiza hapa.....
Hatucheji hatucheji in manara' voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku nakupa kero na ukirudi kule London nakupa lero zaidi na hiyo ndio furaha yangu....
Shubamiiiiiiiiiiiiitttttttttttt...........
Mkuu hizo kero, mpapasiko na msawajiko unajipa mwenyewe mkuu kwa sababu kwa mfululizo wa thread zako ni dhahiri shahiri wewe ndio unapata shida.Huu ni utani tu mkuu,wala hakuna seriousness hapo.......kwenye uhalisia ni kwamba kwa standards alizoziset Simba SC ktk angle ya kimataifa ni kubwa sana ukilinganisha na vilabu vyote nchini,na hiyo inajipambanua yenyewe kwa macho ya kawaida tu wala huhitaji microscope kuona.....
Hivi ni vionjo tu visikupasue kichwa ,huo ndio utani sasa...na furaha ya sisi wapenda kabumbu ni kuona upinzani wanapata tabu,wanapata kero,wanaweweseka, na hilo ndilo ninalolitimiza hapa.....
Hatucheji hatucheji in manara' voice[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku nakupa kero na ukirudi kule London nakupa lero zaidi na hiyo ndio furaha yangu....
Shubamiiiiiiiiiiiiitttttttttttt...........
Kuhusishana ID za humu na majina halisi ya watu ni kosa kisheria kwa mujjibu wa humu JF. unataka upewe ban?Huyo jamaa wa kwanza lazima atakuwa changaule ukikaidi utapigwa2 au joseph1989 maana ndiyo pigo zao hizi. Kila nikimsikiaga nawakumbuka hawa chalii watatu.
Umekutana na timu zinazoshuka daraja huko luzaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wale wazembe ambao hata ihefu hawaweziMkuu hizo kero, mpapasiko na msawajiko unajipa mwenyewe mkuu kwa sababu kwa mfululizo wa thread zako ni dhahiri shahiri wewe ndio unapata shida.
Kule ulaya nishakubali kitambo nimekula Sugunyo heavy na nimeshatupa taulo uwanjani. Ila huku nyumbani we kaa kwa kutulia msimu huu nimekuchanganyia Ndoige, Sugunyo na Kantangaze unahaha tu.
Kama wewe ulivyo mbovu huu msimu na umepita umeweza kuingia robo. Hiyo unasemaje? Hata kundi lenu mmekutana wabovu ukiachana na RajaUmekutana na timu zinazoshuka daraja huko luzaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wale wazembe ambao hata ihefu hawawezi
Haamini anayoyaonaaaHuyu mtu anahangaika sana kufanya comparison kati Simba na Yanga. Kwani mkuu kama Simba ina mafanikio hayo unayoyapamba kuna haja gani ya yote haya? Si mafanikio yako yatajieleza kwa nini unatumia nguvu kubwa.
Jibu ni kwba hofu imetanda mafanikio ya mpinzani yanakutia hofu