Maeneo saba sasa yamekombolewa, tunafika Crimea hivi hivi - counter-offensive

Maeneo saba sasa yamekombolewa, tunafika Crimea hivi hivi - counter-offensive

huyu jamaa hata akianzisha vithread vinavyofanana ishirini kama hivi bado mods wataendelea kumwangalia tu..(sashv haka kathread ka tano)...... lkn wengine wakitumbukiza uzi wa maana kuliko huu utaukuta kule kwenye matukio special yanayojili vita vya Ukraine...
Kasome rules za jf huenda kuna kitu hutimizi kutofautisha na thread kuu
 
Zinasubiriwa hizo ABRAHAMS tanks toka marekani zionje utamu ulioonjwa na LEOPORDS tanks za ujerumani huko kwenye uwanja wa mapambano!!
 
West wanaichezeaje Ukraine?? Fafanua
Actually Ukraine anachezewa sana na magharibi. Yes anaweza ku-regain vijiji na miji kadhaa vilivyo ktk udhibiti wa Rassia but a t a moment ameshafaulu ujue silaha kaishiwa kabisa,hawezi hata kujilinda 10hrs. Then,V.

Putin anamtoa kirahisi na kumrudisha nyuma mbali zaidi hadi tena mareki, ujerumani na uingereza wamtumie silaha tena.

Mambo ya hovyo sana. Yaani imekua kama mchezo wa mpira, unamuachia mpinzani wako achezee mpiraaaa then we unapiga counter attack moja tu goli....
 
Back
Top Bottom