Actually Ukraine anachezewa sana na magharibi. Yes anaweza ku-regain vijiji na miji kadhaa vilivyo ktk udhibiti wa Rassia but a t a moment ameshafaulu ujue silaha kaishiwa kabisa,hawezi hata kujilinda 10hrs. Then,V.
Putin anamtoa kirahisi na kumrudisha nyuma mbali zaidi hadi tena mareki, ujerumani na uingereza wamtumie silaha tena.
Mambo ya hovyo sana. Yaani imekua kama mchezo wa mpira, unamuachia mpinzani wako achezee mpiraaaa then we unapiga counter attack moja tu goli....