Maeneo ya Ada Estate kuna mgao wa maji wa kimyakimya? DAWASA wakitafutwa hawatoi ushirikiano

Maeneo ya Ada Estate kuna mgao wa maji wa kimyakimya? DAWASA wakitafutwa hawatoi ushirikiano

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya.

Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano, inashangaza sana.

Kama kuna mgao ni bora taarifa itolewe tujue moja, kero ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom