Maeneo ya kishua Dar? Taja eneo lako kama sijataja

Maeneo ya kishua Dar? Taja eneo lako kama sijataja

Kikawaida majina mara nyingi hukupa picha ya eneo kabla hujafika!

Ila nilicho-note ni kwamba sehemu zenye majina ya kizungu au linalovutia huwa za kishua by nature (Masaki, Mikocheni, Sea View, Oysterbay) ila jina likiwa la kiswahili ogopa sana! Pata picha jina kama Njiayang'ombe, Kwafundi Redio, Kwatumbo, Kigogo, daaah [emoji23][emoji23]
Masaki na Mikocheni ni Majina ya Kizaramo na Kiswahili.

Masaki original ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe by the way.

Mikoche ni miti. Mikocheni ni sehemu yenye miti ya mikoche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....masaki imetokana na neno massacre lilipatikana baada ya WWI sehemu ambayo wahindi wengi kutoka Burma waliuawa....Mikocheni Ni Michael Chang mchina...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom