Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ujue na mimi niliona hivyo hivyo, ila nikasema labda nimeondoka Sinza miaka mingi sijapaona palivyo sasa.
Sinza kama ushuani basi safari yetu ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue na mimi niliona hivyo hivyo, ila nikasema labda nimeondoka Sinza miaka mingi sijapaona palivyo sasa.
Ujue na mimi niliona hivyo hivyo, ila nikasema labda nimeondoka Sinza miaka mingi sijapaina palivyo sasa.
Sinza kama ushuani basi safari yetu ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaki na Mikocheni ni Majina ya Kizaramo na Kiswahili.Kikawaida majina mara nyingi hukupa picha ya eneo kabla hujafika!
Ila nilicho-note ni kwamba sehemu zenye majina ya kizungu au linalovutia huwa za kishua by nature (Masaki, Mikocheni, Sea View, Oysterbay) ila jina likiwa la kiswahili ogopa sana! Pata picha jina kama Njiayang'ombe, Kwafundi Redio, Kwatumbo, Kigogo, daaah [emoji23][emoji23]
Haya uliyoyataja Hayakumbwi na Mafuriko?
Dah....masaki imetokana na neno massacre lilipatikana baada ya WWI sehemu ambayo wahindi wengi kutoka Burma waliuawa....Mikocheni Ni Michael Chang mchina...[emoji2960]Masaki na Mikocheni ni Majina ya Kizaramo na Kiswahili.
Masaki original ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe by the way.
Mikoche ni miti. Mikocheni ni sehemu yenye miti ya mikoche.
Sent using Jamii Forums mobile app