Maeneo ya kula maisha Tanzania

Maeneo ya kula maisha Tanzania

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
865
Reaction score
1,208
Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea.

Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na lovers, family, friends au hata business mates

Nawasilisha wakuu
 
Nungwi, ila nasikia Saadani pako poa esp. kwa couples cheap na unapata mengi kwa pamoja.

Nungwi kabla ya kuchukua shuttle mji mkongwe unautembelea, subiri mpaka usiku misosi forodhani gardens. Chukua usafiri mpaka hotelini Nungwi, hakikisha una booking au unamchukua dereva anaejulikana mitaa ya Nungwi ili kuokoa muda kwenye checkpoints (huwa zipo moja au mbili).

Saadani sijawahi kufika ila nasikia kupo poa both Safari na beach.

Kama upo single, bongo (Dar es salaam) huu mji hauna mfano.
 
Zanzibar sijawahi waza kwenda mnanishawishi sana wakuu
 
Kwa bajeti ya laki moja-tano:tafuta lodge nzuri ambayo ni mpyampya hapo mkoa unaoishi na kajifungie kwa siku mbili ukila raha
Kwa bajeti ya laki tano-tisa inatosha kutoka huo mkoa unaoish kwenda kwenye vivutio vya utalii popote nchini na kwa mtindo wa kuchangia usafiri kwa siku mbili kupumzisha akili
Kwa bajeti ya million moja -na kuendelea hii ndo funga kazi unaweza kwenda popote bila kuwaza
Kwa ufupi mpango wako wa matumizi na aina ya upendacho kikubudishe ndo kitatoa uelekeo
 
Coco Beach kula miogo [emoji91][emoji91]
 
Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni , ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na lovers, family, friends au hata business mates
Nawasilisha wakuu
Condoms Pub Buza na Nyege Bar Keko.
 
Back
Top Bottom