Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Burigi ipo mkoa gani? Kigoma niniKaribu Pori la BURIGI
Zanzibar sijawahi waza kwenda mnanishawishi sana wakuuNungwi, ila nasikia Saadani pako poa esp. kwa couples cheap na unapata mengi kwa pamoja.
Nungwi kabla ya kuchukua shuttle mji mkongwe unautembelea, subiri mpaka usiku misosi forodhani gardens. Chukua usafiri mpaka hotelini Nungwi, hakikisha una booking au unamchukua dereva anaejulikana mitaa ya Nungwi ili kuokoa muda kwenye checkpoints (huwa zipo moja au mbili).
Saadani sijawahi kufika ila nasikia kupo poa both Safari na beach.
Kama upo single, bongo (Dar es salaam) huu mji hauna mfano.
Mpeleke kwenye kuku wa kienyejj tuu[emoji23][emoji23][emoji23]uko mkoa gani mkuu?
-una uwezo gani?
-unapendelea maeneo gani? ( tusije kukwambia nenda beach kumbe hupendi)
Hataki kwa kazimoto [emoji23][emoji23][emoji23]Mpeleke kwenye kuku wa kienyejj tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mpalange!?[emoji2815][emoji23][emoji23][emoji23]Hataki kwa kazimoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Condoms Pub Buza na Nyege Bar Keko.Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni , ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na lovers, family, friends au hata business mates
Nawasilisha wakuu