Maeneo ya Mikocheni yamejaa wakongwe wanaong'ang'ania ujana

1. Wahenga wamesema ''Fainali Uzeeni'' we hilo unalionaje?
Yako mambo yasikuangaishe yatajirekebisha yenyewe ! Unavyoona hivyo ujue bado uzee haijakolea!
Utazidi kuwaona hao kama unavyoyaona;
magari mabovu ya kizamani na sasa, na hasa yakiongezeka nyakati za usiku na kupandwa kwa bei ndogo; na miongoni mwake yakiwa ni; saloon, hiace, mini bus na hata mabasi na malori na hata yasiyoruhusiwa mjini kati ! mengine yakiwa yamepakwa rangi na kulembwa . Hiyo yote inatokea kwa kutafuta riziki! Tafakari na jiulize wanaopanda hayo magari mabovu na kutumia hizo huduma zinazotolewa ni wepi ?
 
Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena. Umepewa na fellow black je ingekuwa m-white ungesemaje. Wenzio wanaandika barua kuomba misaada we unapata bure unakejeli? Kumbuka hao wamekulia maeneo hayo, that is their life style don't expect to see then in poor places you are used to!. Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale. Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni kujifunza
 
uzee mwisho stakishari

...Kweli mkuu, maana nimeona kupitia Azam TV mzee mmoja huko mikoa ya kusini amefunga ndoa na mkewe mwenye miaka 35 wakati yeye ana miaka 86!! amepiga suti na bibi harusi kapiga shela saafi.
 
Haujakutana na Asprin kweli maana huyu mzee kuzeeka hataki kila siku nagongana naye kwenye pm za wadada.

Nilichofanya nikumwachia Mungu apambane naye tu.
Acha maneno mengi... nletee file la Zurie nilifanyie tathmini...
 

Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena

Ofcourse ilikua bahat mno maana hakuitaji chochote kutoka kwangu zaidi tu yakuvutiwa na story nilizokua naongea naye nadhani.
Kukejeli no,siwezi kumkejeli hata mara moja yule baba maana nlimuona Malaika katika sura ya tofauti baada ya kupata kitu ambacho sikutegemea nitakipata katika ule mda,labda umenielewa vibaya uandishi wangu..


Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale.


Mie ni mzoefu mno katika yale maeneo kuliko unavyodhani... na ndo maana nikakutana na huyo baba ule mda mara nyingi napenda kwenda pale nikiwa free kuanzia asubuhi hadi jioni..naanza na chai,chakula cha mchana hadi jioni narudi kwangu.

Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni
kujifunza
[/QUOTE] Aisee tusichukuliane poa,unijui sikujui, usipende kuhukumu watu kupitia maandiko unayaona humu ndani..we unazijua tabia za kwetu ni zipi? heshima kitu cha bure! usitake nikaongea sana.
 
Itabidi niwe napitia hayo maeneo ili niopoe hivyo vibibi, maana inasemekana hivyo vibibi vinajua kuliko hawa vijana wenzangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji126][emoji124]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…