Maeneo ya Mikocheni yamejaa wakongwe wanaong'ang'ania ujana

Maeneo ya Mikocheni yamejaa wakongwe wanaong'ang'ania ujana

Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena

Ofcourse ilikua bahat mno maana hakuitaji chochote kutoka kwangu zaidi tu yakuvutiwa na story nilizokua naongea naye nadhani.
Kukejeli no,siwezi kumkejeli hata mara moja yule baba maana nlimuona Malaika katika sura ya tofauti baada ya kupata kitu ambacho sikutegemea nitakipata katika ule mda,labda umenielewa vibaya uandishi wangu..

Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale.

Mie ni mzoefu mno katika yale maeneo kuliko unavyodhani... na ndo maana nikakutana na huyo baba ule mda mara nyingi napenda kwenda pale nikiwa free kuanzia asubuhi hadi jioni..naanza na chai,chakula cha mchana hadi jioni narudi kwangu.

Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni
kujifunza
Aisee tusichukuliane poa,unijui sikujui, usipende kuhukumu watu kupitia maandiko unayaona humu ndani..we unazijua tabia za kwetu ni zipi? heshima kitu cha bure! usitake nikaongea sana.[/QUOTE]
Aisee charty haiwezi kua kipindi cha ankali magu utakua jah Kaya tu...AF hata ungempa ungetuambia mama maana asilimia 90 ya masister Du mjini ndo wanaowasponsor hao wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee tusichukuliane poa,unijui sikujui, usipende kuhukumu watu kupitia maandiko unayaona humu ndani..we unazijua tabia za kwetu ni zipi? heshima kitu cha bure! usitake nikaongea sana.
Aisee charty haiwezi kua kipindi cha ankali magu utakua jah Kaya tu...AF hata ungempa ungetuambia mama maana asilimia 90 ya masister Du mjini ndo wanaowasponsor hao wazee

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
ha ha ha ha ilikua ni kipindi cha Jay k mwishoni hivi nikikwambia huyo mtu hutoamini...alivyoje mtu mkubwa niliokota dodo kwenye mbuyu siko hiyo!Alafu alinitunukuu tu bila kuomba nanihii si ningekwambia kama nilitoa lakini hahahah
 
Hiyo namba moja ni kama Le fulaniz...teh
 
Uzuri wa hivi vizee vinajua kukutunuku...kuna huyo mmoja nilikutana naye News cafe ya masaki nikalisalimia, halikuitikia likanambia mambo! sasa katika story mbili tatu likaniuliza binti unalipwa mshahara sh ngapi ofisini kwenu,nikaliambia laki tano (hapo nadanganya) likasema wow they pay u alot...ebana eh si akanihesabia akanipa hiyo hela ohooo jamani nilihisi kudata hiyo ilikua mda kidogo alafu nilikua nimefulia hahah, hakuwa na papara kibabu gagula cha watu! ila huezi amini tokea siku ile sikuwahi kumtia machoni nilikuja kugundua kana wadhifa huko juu (mdomo koma) chondechonde kibabu ukisoma hii meseji jua ni yule binti yako mpendwa ulimsifia ana akili sana hahahah [HASHTAG]#STAKIPOVU[/HASHTAG]...
Hii story lazima ina mwendelezo wa siri
 
Wazee huwa hawaachi kuchukua namba
Sasa unajua mie nilitamani angechukua namba hata haikua hivo..lol akaniaga ghafla nikaona mwenzie anamfuata hao akatokomea!yaani natamani nikutane naye yaani we acha tu na hivi baba jay kabana kila mahali hahahah!Natamani angepita hapa asome jaman ajue binti yake namkumbuka mno hahahah
 
Ni mm yule mzee polee sana ila sorry nimeshadafiri nimejirudia zangu kwa trump.Never mind next time inshaalah.
Pm muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na Sup zako, usije uka disco.
 
Habari wakuu,

Katika pitapita zangu mitaa ya Mikocheni nikiwa naenda Chuo(ndio mimi mwanafunzi ila msinisakame) nimekutana na wazee wanaong'ang'ania ujana.

Hawa ni wazee wa namna hii:-

1. Babu wa makamo tu ambaye ana vitukuu lakini amevaa pensi, tisheti, cheni ya kilo 3 na pete kadhaa. Pia ni asubuhi tu anaenda dukani lakini kavaa miwani ya jua. Ninachowapendea ni wanatema yai zuri tu akikuona " How are you sweetheart?" au " Hello baby, you good?". Ila umri wao ni umri wa kumrejea muumba na kufanya toba.

2. Bibi mtu mzima ngozi ishajikunja hadi basi (si kwamba nakejeli naelezea tu) lakini alfajiri ana kiskintaiti yuko road anakimbia. Nywele imetiwa piko, mvi 1 ikitokea tu inatiwa rangi nyeusi fasta. Bibi anajipodoa anaweka brazilian hair, wanja wa lulu, heels ili mradi tu kuficha umri wake lakini wenye macho yetu tunawang'amua fasta.

Sasa ninachojiuliza kunani Mikocheni? Maana kwetu Stakishari hakuna mambo haya.
Mie jirani yako nipo Ukonga mazizini
 
Back
Top Bottom