cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Aisee tusichukuliane poa,unijui sikujui, usipende kuhukumu watu kupitia maandiko unayaona humu ndani..we unazijua tabia za kwetu ni zipi? heshima kitu cha bure! usitake nikaongea sana.[/QUOTE]Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena
Ofcourse ilikua bahat mno maana hakuitaji chochote kutoka kwangu zaidi tu yakuvutiwa na story nilizokua naongea naye nadhani.
Kukejeli no,siwezi kumkejeli hata mara moja yule baba maana nlimuona Malaika katika sura ya tofauti baada ya kupata kitu ambacho sikutegemea nitakipata katika ule mda,labda umenielewa vibaya uandishi wangu..
Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale.
Mie ni mzoefu mno katika yale maeneo kuliko unavyodhani... na ndo maana nikakutana na huyo baba ule mda mara nyingi napenda kwenda pale nikiwa free kuanzia asubuhi hadi jioni..naanza na chai,chakula cha mchana hadi jioni narudi kwangu.
Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni
kujifunza
Aisee charty haiwezi kua kipindi cha ankali magu utakua jah Kaya tu...AF hata ungempa ungetuambia mama maana asilimia 90 ya masister Du mjini ndo wanaowasponsor hao wazee
Sent using Jamii Forums mobile app