Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa bibi mwanachuoNi kweli ila mimi naukubali uzee wangu..
kile chuo cha kodi, nyuma ya alpha sec?
chuo cha kodi anasoma uyu binti
Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena. Umepewa na fellow black je ingekuwa m-white ungesemaje. Wenzio wanaandika barua kuomba misaada we unapata bure unakejeli? Kumbuka hao wamekulia maeneo hayo, that is their life style don't expect to see then in poor places you are used to!. Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale. Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni kujifunzaUzuri wa hivi vizee vinajua kukutunuku...kuna huyo mmoja nilikutana naye News cafe ya masaki nikalisalimia, halikuitikia likanambia mambo! sasa katika story mbili tatu likaniuliza binti unalipwa mshahara sh ngapi ofisini kwenu,nikaliambia laki tano (hapo nadanganya) likasema wow they pay u alot...ebana eh si akanihesabia akanipa hiyo hela ohooo jamani nilihisi kudata hiyo ilikua mda kidogo alafu nilikua nimefulia hahah, hakuwa na papara kibabu gagula cha watu! ila huezi amini tokea siku ile sikuwahi kumtia machoni nilikuja kugundua kana wadhifa huko juu (mdomo koma) chondechonde kibabu ukisoma hii meseji jua ni yule binti yako mpendwa ulimsifia ana akili sana hahahah [HASHTAG]#STAKIPOVU[/HASHTAG]...
uzee mwisho stakishari
Kutoa ni moyo, si utajiri hiyo ilikuwa bahati, alikupa tu na hakuwa na shida nyingine sidhani kama utapata bahati kama hiyo tena. Umepewa na fellow black je ingekuwa m-white ungesemaje. Wenzio wanaandika barua kuomba misaada we unapata bure unakejeli? Kumbuka hao wamekulia maeneo hayo, that is their life style don't expect to see then in poor places you are used to!. Nakusoma kuwa labda wewe si mzoefu wa kutembelea maeneo yale. Probably we ulikuwa wa kuja maeneo hayo na unategemea tabia za kwenu uzikute hayo maeneo. Kutembea ni kujifunza