Maeneo ya Mikocheni yamejaa wakongwe wanaong'ang'ania ujana

Uzuri wa hivi vizee vinajua kukutunuku...kuna huyo mmoja nilikutana naye News cafe ya masaki nikalisalimia, halikuitikia likanambia mambo! sasa katika story mbili tatu likaniuliza binti unalipwa mshahara sh ngapi ofisini kwenu,nikaliambia laki tano (hapo nadanganya) likasema wow they pay u alot...ebana eh si akanihesabia akanipa hiyo hela ohooo jamani nilihisi kudata hiyo ilikua mda kidogo alafu nilikua nimefulia hahah, hakuwa na papara kibabu gagula cha watu! ila huezi amini tokea siku ile sikuwahi kumtia machoni nilikuja kugundua kana wadhifa huko juu (mdomo koma) chondechonde kibabu ukisoma hii meseji jua ni yule binti yako mpendwa ulimsifia ana akili sana hahahah [HASHTAG]#STAKIPOVU[/HASHTAG]...
Kuna hawq vibibi vibinti unamsalimia anakula mikausho halafu anakwambia mambo, mm huwa siwalaziagi damu kabisa, napunguza mwendo halafu nawa set kwenye rader halafu naenda kuwa funza adabu....
 
Mkuu huogopi laana?

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Katika pitapita zangu mitaa ya Mikocheni nikiwa naenda Chuo(ndio mimi mwanafunzi ila msinisakame) nimekutana na wazee wanaong'ang'ania ujana.

Hawa ni wazee wa namna hii:-

1. Babu wa makamo tu ambaye ana vitukuu lakini amevaa pensi, tisheti, cheni ya kilo 3 na pete kadhaa. Pia ni asubuhi tu anaenda dukani lakini kavaa miwani ya jua. Ninachowapendea ni wanatema yai zuri tu akikuona " How are you sweetheart?" au " Hello baby, you good?". Ila umri wao ni umri wa kumrejea muumba na kufanya toba.

2. Bibi mtu mzima ngozi ishajikunja hadi basi (si kwamba nakejeli naelezea tu) lakini alfajiri ana kiskintaiti yuko road anakimbia. Nywele imetiwa piko, mvi 1 ikitokea tu inatiwa rangi nyeusi fasta. Bibi anajipodoa anaweka brazilian hair, wanja wa lulu, heels ili mradi tu kuficha umri wake lakini wenye macho yetu tunawang'amua fasta.

Sasa ninachojiuliza kunani Mikocheni? Maana kwetu Stakishari hakuna mambo haya.
Age is just ones attitude toward life.... Kuna watoto wadogo ila washazeeka kiakili..and toka ukonga hadi mikocheni we mwanachuo ushapata sponsor nn ulikipeleka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna umri ukifika inakupasa umrudie Muumba wako kwa nguvu zote, Kwenye ujana watu tunafanya mambo ya kutisha kwakwel. Pole yao
 
Habari wakuu,

Katika pitapita zangu mitaa ya Mikocheni nikiwa naenda Chuo(ndio mimi mwanafunzi ila msinisakame) nimekutana na wazee wanaong'ang'ania ujana.

Hawa ni wazee wa namna hii:-

1. Babu wa makamo tu ambaye ana vitukuu lakini amevaa pensi, tisheti, cheni ya kilo 3 na pete kadhaa. Pia ni asubuhi tu anaenda dukani lakini kavaa miwani ya jua. Ninachowapendea ni wanatema yai zuri tu akikuona " How are you sweetheart?" au " Hello baby, you good?". Ila umri wao ni umri wa kumrejea muumba na kufanya toba.

2. Bibi mtu mzima ngozi ishajikunja hadi basi (si kwamba nakejeli naelezea tu) lakini alfajiri ana kiskintaiti yuko road anakimbia. Nywele imetiwa piko, mvi 1 ikitokea tu inatiwa rangi nyeusi fasta. Bibi anajipodoa anaweka brazilian hair, wanja wa lulu, heels ili mradi tu kuficha umri wake lakini wenye macho yetu tunawang'amua fasta.

Sasa ninachojiuliza kunani Mikocheni? Maana kwetu Stakishari hakuna mambo haya.
mbna ata we mwnyw mzee
 
Back
Top Bottom