LGE2024 Maeneo yasiyo na wagombea wa upinzani, kura za ndiyo chini ya asilimia hamsini uchaguzi utarudiwa

LGE2024 Maeneo yasiyo na wagombea wa upinzani, kura za ndiyo chini ya asilimia hamsini uchaguzi utarudiwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana.

Katika kura hizo mgombea anapaswa kufikisha asilimia hamsini au zaidi ya kura za ndio ili aweze kushinda katika nafasi anayogombea.

Aidha amesisitiza iwapo mgombea atapata kura za ndio chini ya asilimia hamsini basi uchaguzi utalazimika kurudiwa katika maeneo hayo.

Soma pia: ACT Wazalendo: CCM na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waache kuwatisha na kuwashawishi wagombea wa upinzani kujiondoa kwenye uchaguzi
Screenshot 2024-11-19 120356.png


Chanzo: StarTV
 
Back
Top Bottom