mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Vipi kaskaziniNYANDA ZA JUU KUSINI NIMEWAVULIA KOFIA
INAFUATIAVipi kaskazini
DohMbeya, Umalila.
Aisee nimekaa sehemu za baridi ila Mbeya Umalila ni kiboko! Yani hakuna sehemu bongo kama ile. Baridi ilikuwa inasoma -8c
Hukutakiwa kuisahau Iringa kwa ujumla wake, baada tu ya kuwataja hao watoto wake wa muda mrefu Makete na Njombe.Haya maeneo ni kiboko katika sekta ya kuwa na baridi Kali katika nchi hii
1. Makete
2. Njombe
3. Mbulu
4. Lushoto
5.Ngara
Kama unahisi Kuna pengine sema hapa , Ila haya ni balaa ,kwingine kupo pia,