HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 381
- 557
Women are stupid!!! Mnapendaga sana kutumika. Sasa mwanaume mwenye mke wake na familia kabisa unammanulia kwanini??? Ndo maana single mothers ngumu kuolewa maana wanachoamini ndo kilichopoNiliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
hapo kama mtoto maana yake anaminywa mdomo au anazibwa pua akiachama tu mwamba anadumbukiza p2 ikaue vimbegu...🤣😂😂huwa anakumezesha p2 Kama mtoto apewapo dawa au anakupatia mkononi na glass ya maji afu unabugia mwenyewe?
Mkewe hampi mbususu, wanawake wengi wakishaolewa wanaona ngono ni kama hisani kwa waume zao
So jamaa anakuja kureleas stress kwako,kaa vipi beba mimba nyingine kistyle afu umtaarifu mkewe
Au mrekod mkido afu mrushie mkewe,uone reaction yake🤣🤣
Basi huruma yake inazaa dhambi[emoji23]Ana huruma sana huyu ...
Bora umemwambia ukweli,wanawake wengine sijui wakoje,yani mtu amekuacha akaenda akaoa mwingine af Bado unampa mwili wako? Huoni amekudharau Hadi kukuacha?Nilivyo na kinyaa siwezi kurudia matapishi, mfyuWewe ndo hujamove on, unakubali kupigwa mitii kwa nini
Anampenda mkewe wewe kwake ni chombo cha starehe!!
Mwenzio anajua bro kaieltewa shoo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huoni wee ndio chujio la chai..anakula, anapunguza nyege, anakupa p2?.
Nawee unahisi anakupenda???.
Mwanaume Kuna wakati ananunua Malaya japo ana Mke Ndani.
Stukaaa wewe, P2 sio salama kwako.
Bora ajifunziTe kwangu,haitakua sawa na yule mwenye kumbukumbu za maex 20 nakuendelea.Nilishasema huku, Bikra Hana kumbukumbu yoyote na Mwanaume.
Ila yeye kutolewa Bikra ndan ya Ndoa, hua hakimfanyi asiliwe.
Lijinga kweli hili lijanamke,akili kizibo[emoji23][emoji23][emoji23]Huoni wee ndio chujio la chai..anakula, anapunguza nyege, anakupa p2?.
Nawee unahisi anakupenda???.
Mwanaume Kuna wakati ananunua Malaya japo ana Mke Ndani.
Stukaaa wewe, P2 sio salama kwako.
Unaonekana huna msimamo kabisa .Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ni fala.
Sema asante.
Hebu liambie na wewe Hilo jinga,linalopenda kurudia matapishi maana linatuaibishaNyie viazi ndio mnafanya mpaka ma single mother wote waonekane haiwezekani ku move on na ni kama mbwa kwa chatu mbele ya Ma Ex zao waliowazalisha, ilhali kuna wengi tu tena sana wanaojielewa na walimove on bila kujali, waliozaa nao na hawakurudia matapishi kamwe
Nina mfano hai kwa single mother wanaojielewa ambao walitendwa na waliozaa nao na wakaamua kumove on na kuacha mawasiliano yabaki kwa malezi tu ya mtoto, na sio kunyanduana kila inapopatikana chance ilhali wana wengine tayari kwa mahusiano
Amani kwa single mothers wote wanaojielewa, ambao wamekataa kugeuzwa mzigo wa kupigia tizi ambalo ex analitafuta akitaka kupasha kiporo tu
Wapo wengi tu wamefanya maisha nao mpaka kesho na maisha yanaenda vizuri, kiazi ni kiazi tu awe single mother au sio lazima atakuwa na kiraru raru tu, dem asiejielewa ni pasua kichwa bila kujali ana mtoto au laOgopa single maza sio wa kufanya nao maisha piga hit and run
Salute kwako mkuu,una point nzuri sana,kunywa Pepsi apo kwa mangi nakuja lips[emoji122]Wapo wengi tu wamefanya maisha nao mpaka kesho, kiazi ni kiazi tu awe single mother au single single lazima atakuwa na kiraru raru tu dem wasiejielewa na mzigo bila kujali ana mtoto au la