Maex muwe mna move on

Maex muwe mna move on

Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Women are stupid!!! Mnapendaga sana kutumika. Sasa mwanaume mwenye mke wake na familia kabisa unammanulia kwanini??? Ndo maana single mothers ngumu kuolewa maana wanachoamini ndo kilichopo
 
😂😂huwa anakumezesha p2 Kama mtoto apewapo dawa au anakupatia mkononi na glass ya maji afu unabugia mwenyewe?
Mkewe hampi mbususu, wanawake wengi wakishaolewa wanaona ngono ni kama hisani kwa waume zao
So jamaa anakuja kureleas stress kwako,kaa vipi beba mimba nyingine kistyle afu umtaarifu mkewe
Au mrekod mkido afu mrushie mkewe,uone reaction yake🤣🤣
hapo kama mtoto maana yake anaminywa mdomo au anazibwa pua akiachama tu mwamba anadumbukiza p2 ikaue vimbegu...🤣
 
Wewe ndo hujamove on, unakubali kupigwa mitii kwa nini
Anampenda mkewe wewe kwake ni chombo cha starehe!!
Bora umemwambia ukweli,wanawake wengine sijui wakoje,yani mtu amekuacha akaenda akaoa mwingine af Bado unampa mwili wako? Huoni amekudharau Hadi kukuacha?Nilivyo na kinyaa siwezi kurudia matapishi, mfyu
 
Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Unaonekana huna msimamo kabisa .
 
Nyie viazi ndio mnafanya mpaka ma single mother wote waonekane haiwezekani ku move on na ni kama mbwa kwa chatu mbele ya Ma Ex zao waliowazalisha, ilhali kuna wengi tu tena sana wanaojielewa na walimove on bila kujali, waliozaa nao na hawakurudia matapishi kamwe

Nina mfano hai kwa single mother wanaojielewa ambao walitendwa na waliozaa nao na wakaamua kumove on na kuacha mawasiliano yabaki kwa malezi tu ya mtoto, na sio kunyanduana kila inapopatikana chance ilhali wana wengine tayari kwa mahusiano

Amani kwa single mothers wote wanaojielewa, ambao wamekataa kugeuzwa mzigo wa kupigia tizi ambalo ex analitafuta akitaka kupasha kiporo tu
 
Hebu liambie na wewe Hilo jinga,linalopenda kurudia matapishi maana linatuaibisha
 
Back
Top Bottom