Nyie viazi ndio mnafanya mpaka ma single mother wote waonekane haiwezekani ku move on na ni kama mbwa kwa chatu mbele ya Ma Ex zao waliowazalisha, ilhali kuna wengi tu tena sana wanaojielewa na walimove on bila kujali, waliozaa nao na hawakurudia matapishi kamwe
Nina mfano hai kwa single mother wanaojielewa ambao walitendwa na waliozaa nao na wakaamua kumove on na kuacha mawasiliano yabaki kwa malezi tu ya mtoto, na sio kunyanduana kila inapopatikana chance ilhali wana wengine tayari kwa mahusiano
Amani kwa single mothers wote wanaojielewa, ambao wamekataa kugeuzwa mzigo wa kupigia tizi ambalo ex analitafuta akitaka kupasha kiporo tu