Maex muwe mna move on

Maex muwe mna move on

Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Yani uzi tayari hahahaha
 
😂😂huwa anakumezesha p2 Kama mtoto apewapo dawa au anakupatia mkononi na glass ya maji afu unabugia mwenyewe?
Mkewe hampi mbususu, wanawake wengi wakishaolewa wanaona ngono ni kama hisani kwa waume zao
So jamaa anakuja kureleas stress kwako,kaa vipi beba mimba nyingine kistyle afu umtaarifu mkewe
Au mrekod mkido afu mrushie mkewe,uone reaction yake🤣🤣
 
Niliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
😂😂😂Huoni wee ndio chujio la chai..anakula, anapunguza nyege, anakupa p2?.

Nawee unahisi anakupenda???.

Mwanaume Kuna wakati ananunua Malaya japo ana Mke Ndani.

Stukaaa wewe, P2 sio salama kwako.
 
Wewe ni sample tu,ya baadhi ya wanawake..... machoni pa watu,mtu anasema hawezi kusex na ex,wakikutana.... mtanañge unaendelea....
Mwanamke ninayemuamini ni bikra tu,bora aje abadilikie kwangu.... hana kumbukumbu yoyote iwe nzuri au mbaya na mwanaume yeyote zaidi yangu.
Nilishasema huku, Bikra Hana kumbukumbu yoyote na Mwanaume.

Ila yeye kutolewa Bikra ndan ya Ndoa, hua hakimfanyi asiliwe.
 
Unajua madhara ya hizi P2?

Anakupa unafakamia tu!

Na ni mume wa mtu tayari. Ulikuwa unategemea nini hasa kutoka kwake?

Unawaaibisha masingo maza wenzio wanaojitambua na unaendelea kukoleza moto wa kwamba singo mazazi hawafai maana huendelea tu kulalwa na baby daddies wao.

Unasikitisha!
Huyu ni mwanaume, unapoteza muda tuu.

Analetaga uzi za ajabu sana, kuna siku anakuwa wa kiume kuna siku anakuwa wa kike.

Nahic ni hermaphrodite.
 
Ogopa single maza sio wa kufanya nao maisha piga hit and run
Kuna singo maza niko nae kama mwaka,siku moja akaugua U.T.I kali akasema mimi ndo nimemwambukiza,akasema ndugu zake wameshangaa kusikia ana ugonjwa huo,nilichoka pale aliponiambia eti hata bwana ake walieachana kampigia simu kumcheka,nilishangaa sana,hadi nikapanga kumuacha
 
Ulipaswa kumkatalia hapo mwanzo na si kwa sasa. Hata ukikataa haina haisaidii mkuu.

Endelea kumpa haki yake maana ni baba wa mtoto wako.
 
Kiporo hicho hakihitaji moto mwingi.Kibane bane mwisho kiliwe na nyenyere.
 
Unajua madhara ya hizi P2?

Anakupa unafakamia tu!

Na ni mume wa mtu tayari. Ulikuwa unategemea nini hasa kutoka kwake?

Unawaaibisha masingo maza wenzio wanaojitambua na unaendelea kukoleza moto wa kwamba singo mazazi hawafai maana huendelea tu kulalwa na baby daddies wao.

Unasikitisha!
Anawaharibia Sana wenzie wakose waume.
 
Back
Top Bottom