Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Kila mara nawaambia vijana humu usioe single mother na kama itakulazimu kumuoa hakikisha:Ogopa single maza sio wa kufanya nao maisha piga hit and run
1. Akuonyeshe Kaburi la huyo alozaa naye
2. Cheti cha kifo chenye majina halisi ya marehemu mzazi mwenzie
3.Ushahidi wa video na picha za msiba
4.Uthibitisho wa serikali za mitaa
5.Sababu za kifo cha huyo mzazi mwenzie
6. Ikiwezekana kaburi lifukuliwe muhakikishe kwa DNA aliyezikwa humo ni yeye kweli
7.Usioe single mother!