Maex muwe mna move on

Maex muwe mna move on

Ogopa single maza sio wa kufanya nao maisha piga hit and run
Kila mara nawaambia vijana humu usioe single mother na kama itakulazimu kumuoa hakikisha:
1. Akuonyeshe Kaburi la huyo alozaa naye
2. Cheti cha kifo chenye majina halisi ya marehemu mzazi mwenzie
3.Ushahidi wa video na picha za msiba
4.Uthibitisho wa serikali za mitaa
5.Sababu za kifo cha huyo mzazi mwenzie
6. Ikiwezekana kaburi lifukuliwe muhakikishe kwa DNA aliyezikwa humo ni yeye kweli
7.Usioe single mother!
 
Niliachana na baba mtoto wangu, akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2.

Safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.
Aisee kumbe una mtoto? 🤣🤣🤣

Kupatwa kwa pashukwa 😁
 
Ogopa single maza sio wa kufanya nao maisha piga hit and run
20240602_020227.jpg
 
....lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2.
Sasa kama tayari una mtu wako mwingine mbona unamsaliti na kumezeshwa P2?

Halafu kuzaa tena kukishindikana kwa sababu ya kutumia sana P2 itakuwaje?

Duh, ndiyo maana kuchukua single mom ni kujitafutia shida tu.
Single mum kumnyima mzazi mwenzie mbususu ni ngumu.

Hata wewe unamkazia kwa muda tu afu baadaye utamtunuku hadi achoke mwenyewe
 
Back
Top Bottom