Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

Unapata 500MB kwa miezi 12 kupitia Jiachie Pack
Tsh 500 ni 240MB kwa miezi 12
Tsh 1000 ni 500MB kwa miezi 12
TSh 3000 ni 1.5GB kwa miezi 12
Hii ni Jiachie Pack na ndio vifurushi vya bei rahisi zaidi vya TTCL kwa sasa
Huu n uongo bhan😁😁
 
Mbona la kwangu bado liko sawa??
Mkuu samahani, unaweza kunielekeza hiyo HA Tunnel plus unatumiaje na procedure zipi nifuate. Pia labda inaenda vizuri zaidi na mtandao gani, au ni server ipi huwa strong muda mwingi huko ha tunnel plus[emoji848][emoji848]
 
Hapo kwnye miez 12 nd pamenichanganya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ungeomba tu nikueleweshe.
Jiachie Pack ni kifurushi cha TTCL ambacho wenyewe wanadai hakina ukomo wa muda yaani ukinunua MB usipozitumia hata miezi itapita na bado MB zako zinabaki palepale lakini hazibaki milele, ikishapita miezi 12 tangu umenunua kifurushi basi ndo MB zako nazo zinakatwa huko zote na TTCL
Kwa hiyo bando la Jiachie Pack linadumu kwa miezi 12 mkuu
 
Sasa mkuu unakuja kuomba jf unategemea Nani akusaidie hujui ao isp humu pia wapo? Pambana telegram sio huku apo unachoma huombi msaada
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ungeomba tu nikueleweshe.
Jiachie Pack ni kifurushi cha TTCL ambacho wenyewe wanadai hakina ukomo wa muda yaani ukinunua MB usipozitumia hata miezi itapita na bado MB zako zinabaki palepale lakini hazibaki milele, ikishapita miezi 12 tangu umenunua kifurushi basi ndo MB zako nazo zinakatwa huko zote na TTCL
Kwa hiyo bando la Jiachie Pack linadumu kwa miezi 12 mkuu
Na wal sio bufee pack😁😁
 
Unapata 500MB kwa miezi 12 kupitia Jiachie Pack
Tsh 500 ni 240MB kwa miezi 12
Tsh 1000 ni 500MB kwa miezi 12
TSh 3000 ni 1.5GB kwa miezi 12
Hii ni Jiachie Pack na ndio vifurushi vya bei rahisi zaidi vya TTCL kwa sasa
Shukrani, nataka mbadala wa airtel lakini mwenye vifurushi nafuu [emoji106]
 
Na wal sio bufee pack[emoji16][emoji16]
Bufee pack nalo hukaa miezi 12 kama Jiachie Pack
Kule unaandika MB unazotaka wao wanakutajia bei, lakini Bufee ni bei ghali. Kila MB 1 inauzwa kwa shilingi 2.5. Yaani ukiwa na TSh 2000 unapata 800MB tu
 
Back
Top Bottom