Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?


Sawa kijana mdogo😊
 
Utajiri unapimwa kwa assets

Kwahiyo ukisikia Mo dewji ni tajiri, wanamaanisha jumla ya assets zake na cash alizonazo,sio watu

Ingekuwa utajiri ni idadi ya watu, basi ndugu zetu wasukuma wangekuwa matajiri, maana msukuma mmoja anakuwa na watoto 23 hadi 52 lakini hutaona ametokea kwenye jalida la Forbes 🤪
 
Sahihi kabisa huenda mafanikio sio kigezo bali hali ya ndani yetu
 
🔥🔥
 
🤣🤣🤣
 
Nilikuwa naangalia documentary moja hivi, Mama mmoja wa huko belgium ana estate yake ambayo ameidonate kwenye taasisi moja inayodeal na wild life conservation ili hela zinazopatikana kwa rental zisaidie hizo program. Wakati anahojiwa anasema ye alichagua kutokuwa na mume wala watoto (which sio kitu kibaya) Sasa my judgements zikawa hivi, huyu ameishi maisha yote akiavoid “watu” lakini mwisho wa siku akagundua vitu vyake vinahitahi “watu” (urithi) Nikatafakari her process of thoughts ambayo ni ya wengi huko kwenye capitalist world nikaona kuna mushikeli kidogo, end circle ya binadamu inahitaji binadamu mwingine, sasa kwanini uishi maisha yote bila kuhitaji binadamu mwenzio halafu mwisho unaanza kumuhitaji?
 
Mafanikio halisi ni vyote viwili--vitu na watu.
 
end circle ya binadamu inahitaji binadamu mwingine, sasa kwanini uishi maisha yote bila kuhitaji binadamu mwenzio halafu mwisho unaanza kumuhitaji?
At the end of the day, people need love.
And true love isn't found in materials... It is found in human interaction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…