Mafanikio haya ya Serengeti Boys ni matunda ya Nape Nauye au Harrison Mwakyembe?

bado game hazijaisha na bado hatujapata mafanikio tuliyokusudia
 
Yap Serengeti wenyewe
 
Mafanikio ya malinzi..achaguliwe tena..
 
Mahaba yako kwa nape hayatuhusu...unatumalizia mb zetu kwa post za kijinga!
 
Mahaba yako kwa nape hayatuhusu...unatumalizia mb zetu kwa post za kijinga!

Mchanganyiko wa ' Shahawa ' zilizojaa ' Funza ' ndiyo hutuletea duniani Watu ' Wapumbavu ' wa mfano wako.
 
Mkianza tu kuihusisha Serengeti boys na siasa chafu za bongo basi tambueni haitofika kokote.
CCM ina laana, madogo wanehusishwa tu kidogo na hili CHAMA la Wala rambirambi tayari tumetupwa nje!
 
Mafanikio yapi wewe limbukeni.? Tanzania timu ikishinda kamechi kamoja shida tuph kama vike imechukua ubingwa.Watanzania wacheni kuwa kipofu aliyeoba mwezi.
 
Mkianza tu kuihusisha Serengeti boys na siasa chafu za bongo basi tambueni haitofika kokote.
Wale madogo niliona wako innocent na walijitahidi kuliko kawaida. Sikutegemea kama kuna siasa tena.
Nilitegemea wakifika wapongezwe na kuwekewa mikakati ya kufanya vizuri zaidi. Vinginvyo tutawakatisha tamaa na hata kizuri kidogo walichonacho kitayeyuka faster
 
Mafanikio gani ? Kufaulu kwa mteremko
Bora walivo tolewa maana team kagera wangetumia nafasi hio kurudi TFF....
 
Kidogo gani? Ilitakiwa ushindi tu kukata tiketi ya kushiriki kombe la dunia yani hii ilikuwa ni do or die.
Shida kubwa ni kama nilivyoeleza huko awali.
 
Nilijua tu watatolewa kuna watu wana gundu baya, akiwepo tu nuksi inaingia.
 
Eti 'Mafanikioya Serengeti boys'

Wabongo bana wakishinda mechi Moja ndo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…