Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap Serengeti wenyeweKaribuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.
Nawasilisha.
Mafanikio ya malinzi..achaguliwe tena..Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.
Nawasilisha.
Mahaba yako kwa nape hayatuhusu...unatumalizia mb zetu kwa post za kijinga!Najua kama Serengeti Boys wana Kocha wao Bakari Shime a.k.a Mchawi Mweusi na Nahodha wao ila nimeuliza kati ya aliyekuwa Waziri Nauye na Waziri wa sasa Mwakyembe nani anastahili ' pongezi / kongole ' kwa mafanikio haya ya Timu yetu ya Taifa ya Vijana?
Kuna Timu yoyote ya Taifa inayoshiriki michuano yake bila ushirikiano mkubwa kutoka Serikalini? Na je hao akina Nauye na Mwakyembe hawakuwa au siyo wawakilishi kutoka Serikalini? Hii ID yako ni moja ya ID's ambazo huwa naziheshimu humu ila sijui leo ' imebakwa ' na Mtu mwingine au la!
Mahaba yako kwa nape hayatuhusu...unatumalizia mb zetu kwa post za kijinga!
CCM ina laana, madogo wanehusishwa tu kidogo na hili CHAMA la Wala rambirambi tayari tumetupwa nje!Mkianza tu kuihusisha Serengeti boys na siasa chafu za bongo basi tambueni haitofika kokote.
Naona maono yako yametimia,wabongo tulianza kushangilia kabla hatujafanikiwabado game hazijaisha na bado hatujapata mafanikio tuliyokusudia
Wengine tulishatoa tahadhari hii humu mapema sana nduguCCM ina laana, madogo wanehusishwa tu kidogo na hili CHAMA la Wala rambirambi tayari tumetupwa nje!
Wale madogo niliona wako innocent na walijitahidi kuliko kawaida. Sikutegemea kama kuna siasa tena.Mkianza tu kuihusisha Serengeti boys na siasa chafu za bongo basi tambueni haitofika kokote.
Kidogo gani? Ilitakiwa ushindi tu kukata tiketi ya kushiriki kombe la dunia yani hii ilikuwa ni do or die.Wale madogo niliona wako innocent na walijitahidi kuliko kawaida. Sikutegemea kama kuna siasa tena.
Nilitegemea wakifika wapongezwe na kuwekewa mikakati ya kufanya vizuri zaidi. Vinginvyo tutawakatisha tamaa na hata kizuri kidogo walichonacho kitayeyuka faster