Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii misemo ya John hii😁😁Blaza umepiga kwenye mshono hadi kizazi kimecheza😂😂😂😂
Mbwa mwenye mnofu hapigi kelele maana mnofu utadondoka mdomoni.📌🔨💪🏿Binafsi siwezi tangaza fursa kwa watu, wakati mimi ni mnufaika wa hiyo fursa.
Mbwa mwenye mnofu hapigi kelele maana mnofu utadondoka mdomoni.
Tuache tambo.
Ukiwa na pesa, jiwekeze kimya kimya, jikatie bima ya afya NHIF, Strategies, MO, Jubilee
Ukiwa na pesa wawekee watoto wako BOT huko hata 100,000,000 ambayo kwa miaka 5,10,15,20,25 hawatakosa chakula maana watalipwa kila mwezi hata kama umekufa.
Jenga kitega uchumi ambacho kila siku hukosi 100,000 ie Guest House
Kula vizuri, Jali afya, kuwa karibu na Mungu