Binafsi siwezi tangaza fursa kwa watu, wakati mimi ni mnufaika wa hiyo fursa.
Mbwa mwenye mnofu hapigi kelele maana mnofu utadondoka mdomoni.
Tuache tambo.
Ukiwa na pesa, jiwekeze kimya kimya, jikatie bima ya afya NHIF, Strategies, MO, Jubilee
Ukiwa na pesa wawekee watoto wako BOT huko hata 100,000,000 ambayo kwa miaka 5,10,15,20,25 hawatakosa chakula maana watalipwa kila mwezi hata kama umekufa.
Jenga kitega uchumi ambacho kila siku hukosi 100,000 ie Guest House
Kula vizuri, Jali afya, kuwa karibu na Mungu