Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mawaiza nilisikilizaga zamani ila sikumbuki ni nani?. Ya sheik mmoja fulani.
Maelezo yake:Kulikuwa na maskini mmoja alikuwa jangwani kwa shida na kutafute kote na umaskini unaomzonga aliomba kufa,wakati yupo jangwani akakutana na mtu na kumwambia bora nife ila yule mtu alimwambia utafanikiwa.
Baada ya mtu yule alifanikiwa na kuwa na mali nyingi sana yani kasha sahau shida.
Siku moja yule mtu alifika kwake na kumwambia mda tumekupa wa kutosha inabidi ufe.
Yule mtu aliomba kwa juhudi zote sababu mali zake anaziitaji na kuwapa nusu ya mali zake .
Tuje kwenye mada.
Asilimia kubwa ya watu wasio fanikiwa uwomba kifo pale wasipofikisha malengo yao.
Kumbuka unapo tamka moyoni bora nife kuna siku ndio unapewa mafanikio yako na wakati huo unadaiwa kifo chako.