nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Kuna vitu sivielewi, wengine wanasema ukiona project haiendi vizuri baada ya miaka kadhaa achana nayo fanya ishu zingine, wanaita upepo umekata.
Wengine wanasema biashara ama mradi wowote unatakiwa ukomae mwazo mwisho ndo utaona mafanikio.
Let say mtu kaajiriwa anaamua kugairi kazi baada ya kuona hakuna mwanga mbele yake, huku wengine wakiendelea kukomaa ipi njia sahihi katika kufanikiwa?
Karibuni kwa mjadala wakuu.