nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Nothin is easy,mambo yasipoenda usikimbilie kulaumu mazingira au partners,Kila kitu ni ww,work on urself,km wanaweza kufanya biashara hiyohiyo kwnn ww ufeli,ukiweza kujitazama mwnyw hutafeli kamwe.Kuna vitu sivielewi, wengine wanasema ukiona project haiendi vizuri baada ya miaka kadhaa achana nayo fanya ishu zingine, wanaita upepo umekata.
Wengine wanasema biashara ama mradi wowote unatakiwa ukomae mwazo mwisho ndo utaona mafanikio.
Let say mtu kaajiriwa anaamua kugairi kazi baada ya kuona hakuna mwanga mbele yake, huku wengine wakiendelea kukomaa ipi njia sahihi katika kufanikiwa?
Karibuni kwa mjadala wakuu.