Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI YANGA TU NDO WANAOFANYA MO AONEKANE OVYO...maisha yanaenda kasi mnoKumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu
Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu
Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC
katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....
[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)
[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)
[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)
[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)
[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)
[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)
Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..
Wewe unasemaje?
AENDE au ABAKI
Mimi nasema ABAKI.
View attachment 2617782
Hakuna kitu watamfanyaMimi ni MWANANCHI!
Ila napenda abaki, lakini kwa ninavyowajua!
ATASEPA TU!!!
Wanaotaka atoke ni yanga fans tu, hakuna mwana simba anayetaka mo atokeKumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu
Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu
Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC
katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....
[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)
[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)
[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)
[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)
[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)
[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)
Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..
Wewe unasemaje?
AENDE au ABAKI
Mimi nasema ABAKI.
View attachment 2617782
Kwenye hao waliamuliwa washiriki utopolo kwanini hawapo???Super League ni kama bonanza tuu la caf kwasababu hakuna vgezo vnavyoleta maana kwa washiriki, caf wamejiamulia tuu nani ashiriki na nani asishiriki
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu
Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu
Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC
katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....
[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)
[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)
[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)
[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)
[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)
[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)
Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..
Wewe unasemaje?
AENDE au ABAKI
Mimi nasema ABAKI.
View attachment 2617782
Na ataendelea kuonekana wa ovyo maana ubahili ni tabia za wahindi msitegemee atasajili wachezaji wa maana uyo mhindi wa bombay!NI YANGA TU NDO WANAOFANYA MO AONEKANE OVYO...maisha yanaenda kasi mno
Mashabiki wa SIMBA na Yanga ni watu wa lawama tu yaani wakiachiwa timu lazima iwe mbovu tuHizi ndio propaganda zenu zinazowapotezea muda, simamieni basi tuone hayo mafanikio yenu ndio kweli sasa hivi hakuna covid wala lockdown onyesheni kile mlicho nacho
Alipoondoka Yanga ikacheza makundi baada ya miaka mingapi?MSIWE WASHAMBA MBONA MANJI ALIONDOKA YANGA WAKAJA GSM.
KUNA MGODI FLANI ULITAKA UWEKEZAJI MKUBWA SANA DANI YA SIMBA.
MWAMEDI ATUPISHE
Mo akitoka simba,hiyo simba itakuwepo?Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu
Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu
Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC
katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....
[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)
[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)
[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)
[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)
[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)
[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)
Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..
Wewe unasemaje?
AENDE au ABAKI
Mimi nasema ABAKI.
View attachment 2617782
Simba Ni mnyama anayetisha siku zote. Lazima muweweseke.Super Cup ipi hiyo Simba atashiriki?[emoji848]
Mi najua super cup atacheza mshindi Kati ya bingwa wa Champions League na Yule wa Confederation.
Ambapo bila wasiwasi itakua ni
Young Africans [emoji172] Vs Mamelody sundown [emoji169]
Mbumbumbu huu mwaka mtakoma [emoji28][emoji1787]
Bila kuwepo na Simba Bora, Yanga isingefanya usajili mkubwa waliofanyaMagoli yote ya Yanga kafunga Mo
Hao simba wametoa shilingi ngapi mpaka Yanga ikafanya usajili mkubwa?Bila kuwepo na Simba Bora, Yanga isingefanya usajili mkubwa waliofanya