Mafanikio: Miaka 6 ya Mo Dewji ndani ya Simba sc. Je, ni halali abaki au aende?

Mafanikio: Miaka 6 ya Mo Dewji ndani ya Simba sc. Je, ni halali abaki au aende?

MSIWE WASHAMBA MBONA MANJI ALIONDOKA YANGA WAKAJA GSM.

KUNA MGODI FLANI ULITAKA UWEKEZAJI MKUBWA SANA DANI YA SIMBA.

MWAMEDI ATUPISHE
 
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa

Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc

Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu

Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu

Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC

katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....

[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)

[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)

[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)

[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)

[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)

[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)

Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..

Wewe unasemaje?

AENDE au ABAKI

Mimi nasema ABAKI.

View attachment 2617782
NI YANGA TU NDO WANAOFANYA MO AONEKANE OVYO...maisha yanaenda kasi mno
 
Wanaotaka atoke ni yanga fans tu, hakuna mwana simba anayetaka mo atoke
 
Akienda hakuna atakae kuja
 
NI YANGA TU NDO WANAOFANYA MO AONEKANE OVYO...maisha yanaenda kasi mno
Na ataendelea kuonekana wa ovyo maana ubahili ni tabia za wahindi msitegemee atasajili wachezaji wa maana uyo mhindi wa bombay!
 
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
MWAMEDI AONDOKE.

MATAJIRI kiabao wanaitaka Simba.

Nimesikia Hadi MGODI Fulani UNAKITAKA sana Simba. Mo ndio kikwazo.
Unataka KUCHUKUA 49%

Kwanini Asiondoka. Maana anapenda KUSUSA timu IKIWA vibaya anajitoa.

Mbona MANJI ALIONDOKA!!!?????...........!!!!!!????¿!!!!
 
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa

Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc

Kundi la kwanza wakisema Mo aachie timu

Kundi la pili likisema Mo aendelee kuisuka timu

Sasa hapa chini tukumbushane mafanikio yake katika uwekezaji Simba SC

katika miaka sita ya Uwekezaji wa Mohammed Dewji ndani ya Simba SC ameisadia CLUB katika haya yafuatayo....

[emoji837]Ligi ya mabingwa Afrika Robo CAFCL (3)

[emoji837]Shirikisho Africa CAFCC Robo (1)

[emoji837]Ligi Kuu Tanzania Bingwa (4)

[emoji837]Ngao ya Jamii Bingwa (4)

[emoji837]Mapinduzi Cup Bingwa (1)

[emoji837]Azam Cup Bingwa (3)

Rankings Africa (9) kutoka (63)
Kucheza Africa Super League [emoji736]
Uwanja wa mazoezi [emoji736]
Kufanikisha Tanzania kutoa timu (4) Kushiriki Kimataifa [emoji736] ..NK..

Wewe unasemaje?

AENDE au ABAKI

Mimi nasema ABAKI.

View attachment 2617782
Mo akitoka simba,hiyo simba itakuwepo?
 
Super Cup ipi hiyo Simba atashiriki?[emoji848]

Mi najua super cup atacheza mshindi Kati ya bingwa wa Champions League na Yule wa Confederation.
Ambapo bila wasiwasi itakua ni
Young Africans [emoji172] Vs Mamelody sundown [emoji169]

Mbumbumbu huu mwaka mtakoma [emoji28][emoji1787]
Simba Ni mnyama anayetisha siku zote. Lazima muweweseke.
 
Back
Top Bottom